1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tafrani ya kisiasa Kenya

Admin.WagnerD18 Desemba 2012

Wakati raia wa Kenya wanajiandaa katika kushiriki uchaguzi mkuu, kumekuwa na vuta ni kuvute katika miungano ya vyama ukiwemo wa ule wa Jubelee unaowajumuisha Manaibu mawaziri wakuu, Uhuru Kenyatta na Musalia Mudavadi.

https://p.dw.com/p/174Qb
In this Nov 15 2007 photo, Kenyan politician Uhuru Kenyatta during a meeting in Narobi, Kenya. The prosecutor of the International Criminal Court has asked judges to charge six Kenyans, including the country's deputy prime minister, with crimes against humanity including murder, persecution and rape committed during post election violence in 2007-2008. Deputy Prime Minister and Finance Minister Uhuru Kenyatta and Minister for Industrialization Henry Kosgey are among the six men named Wednesday by Luis Moreno Ocampo in two separate cases covering both sides of Kenya's political divide. Deadly clashes erupted after Kenya's disputed 2007 presidential election, including indiscriminate bow and arrow, machete and gunfire attacks that killed more than 1,000. (AP Photo/Sayyid Azim)
Naibu Waziri Mkuu Kenya Uhuru KenyattaPicha: AP

Hii leo muungano huo wa Jubilee ulitarajiwa kumchagua mgombea wao wa urais, lakini mkutano wa wajumbe ukaahirishwa dakika ya mwisho. Muungano huo unakabiliwa na mvutano juu ya nani anastahili kupeperusha bendera ya muungano. Sudi Mnette amezungumza na Profesa Chacha Nyaigoti Chacha. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Josephat Charo