1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tabia ya uvutaji 'shisha' inavyosambaa

Bruce Amani Alakonya9 Oktoba 2015

'Shisha' ni uraibu wa Kiarabu unaokuwa kwa kasi kubwa kwenye miji ya Afrika Mashariki na hata barani Ulaya, na kwenye makala hii ya "Vijana Mchakamchaka", Bruce Amani anazungumza na vijana walioingia kwenye utamaduni huu mpya kujuwa undani wao.

https://p.dw.com/p/1GlrQ