1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taasisi ya Goethe Nairobi yafanya maonesho ya picha

25 Septemba 2012

Katika kuendeleza dhana pana ya utamaduni, Taasisi ya Kijerumani ya Goethe imezindua maonesho ya picha jijini Nairobi.

https://p.dw.com/p/16DgE
Sanamu ya Mwanafalsafa na Mshairi wa Kijerumani, Goethe.
Sanamu ya Mwanafalsafa na Mshairi wa Kijerumani, Goethe.Picha: nmann77/Fotolia

Makala ya Alfred Kiti kutoka Nairobi kuhusiana na maonesho ya picha yanayodhaminiwa na Taasisi ya Goethe. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Alfred Kiti/DW Nairobi
Mhariri: Mohammed Abdulrahman