1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Ulimwengu, Asubuhi 16 Oktoba 2017

V2 / S12S16 Oktoba 2017

Marekani yasema itaendelea na mazungumzo kuukwamua mzozo wa Korea Kaskazini, Rais Nicolas Maduro apata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa magavana nchini Venezuala na kiongozi mkuu wa upinzani wa Kenya ataka maandamano yaendelee kushinikiza mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi.

https://p.dw.com/p/2lsTB