1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 26.05.2017

26 Mei 2017

Katika Taarifa ya habari asubuhi ya leo: Mkutano wa kilele wa viongozi wa mataifa 7 yaliyoendelea duniani waanza leo hii mjini Taormina, Italia. Polisi nchini Uingereza yaanzisha tena ushirikiano wa kubadilishana taarifa na mashirika ya usalama ya Marekani baada ya kuusitisha kwa muda. Nchini Kenya polisi wengine watano wauwawa kwenye mlipuko wa bomu la kutegwa kando ya barabara

https://p.dw.com/p/2daMi