1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 22.08.2017

Yusra Buwayhid
22 Agosti 2017

Rais wa Marekani Donald Trump atangaza mkakati mpya wa kijeshi kuhusu Afghanistan na eneo zima la Asia ya Kusini. Polisi nchini Uhispania yamuua mshambuliaji wa Barcelona Younes Abouyaaqoub. Na, Upinzani Angola wataka kupunguza undanganyifu wa kura kwa kutumia programu ya kompyuta.

https://p.dw.com/p/2icMr