Uturuki kuwaweka kizuizini wanaharakati 10 wa haki za binaadamu bila ya kuwafungulia mashtaka. Wanawake watano wa Kijerumani wakamatwa mjini Mosul huko Iraq wakiwaunga mkono wanamgambo wa IS.Umoja wa Ulaya wazuia uuzaji wa boti kwa Libya ili kukomesha uhamiaji.