1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 13.05.2017

Yusra Buwayhid
13 Mei 2017

Rais mteule wa Ufaransa Emmanuel Macron kukutana na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel mjini Berlin Jumatatu. Takriban nchi 100 duniani zimeshambuliwa na programu ya viruzi vya kopyuta. Na Boko Haram huenda ikafanya mashambulizi ya mabomu mji mkuu wa Nigeria, Abuja.

https://p.dw.com/p/2cuB2