Idadi ya watu wanaoweza kuwa magaidi inaongezeka Ujerumani. Urusi, Uturuki, Iran na Syria zakubali kuunda maeneo salama nchini Syria. Na aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama amuunga mkono mgombea urais wa Ufaransa wa siasa za wastani Emmanuel Macron.