1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi 05.01.2018

Caro Robi
5 Januari 2018

Korea Kaskazini na Korea Kusini zimekubali kufanya mazungumzo ya ngazi ya juu wiki ijayo//Kitabu kinachomkashifu vikali Rais wa Marekani Donald Trump kuchapishwa leo//Asilimia 67 ya Wajerumani wanaamini kuwa nyakati bora za utawala wa Kansela Angela Merkel zimeshapita.

https://p.dw.com/p/2qN6L