1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 31.01.2018

31 Januari 2018

Wanaotaka kujitenga nchini Yemen watwaa makazi ya rais mjini Aden. Umoja wa mataifa wahimiza misaada kwa wakimbizi wa Palestina. Nchini Ujerumani vyama vya CDU na SPD vyakubaliana juu ya suala la wakimbizi ili kuendeleza mazungumzo ya kuunda serikali.

https://p.dw.com/p/2rnfV