1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 24.04.2017

24 Aprili 2017

Kwenye taarifa yetu leo asubuhi: Emmanuel Macron na Marine Le Pen kupambana katika duru ya pili ya kinyang'anyiro cha urais nchini Ufaransa baada ya wagombea hao kushinda kwenye duru ya kwanza iliyofanyika hapo jana. Korea Kaskazini yatishia kuzamisha manowari ya Marekani ya kubebea ndege za kivita. Vitendo vya uharamia vyaongezeka huko nchini Somalia

https://p.dw.com/p/2blxL