1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 22.01.2017

Yusra Buwayhid
22 Januari 2017

Mamia kwa maelfu ya watu wakusanyika Washington kwenye maandamano ya wanawake dhidhi ya Rais mpya wa Marekani Donald Trump. Viongozi wa vyama vya siasa kali za za mrengo wa kulia wakutana Ujerumani kuupinga Umoja wa Ulaya. Na, kiongozi wa zamani wa Gambia Yahya Jammeh apanda ndege na kulihama taifa hilo

https://p.dw.com/p/2WCka