1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 20.02.2018

Sylvia Mwehozi
20 Februari 2018

Muhtasari wake: Rais Donald Trump asema anaunga mkono jitihada za kuboresha mfumo wa ukaguzi wa manunuzi ya silaha. Watoto wanaozaliwa katika nchi zilizo maskini zaidi duniani wanakabiliwa na hatari ya kifo ukilinganisha na wale wanaozaliwa katika mataifa tajiri. Na Rais wa zamani wa Peru kushitakiwa kwa mauaji aliyoyatekeleza wakati wa utawala wake.

https://p.dw.com/p/2sxlU