1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi, 19 Oktoba 2017

V2 / S12S19 Oktoba 2017

Marekani yaitia serikali ya Myanmar lawamani kwa mateso ya Warohingya, Umoja wa Mataifa wataka pande hasimu kwenye mzozo wa Kirkuk zijiepushe na mapigano na nchini Kenya, mkuu wa tume ya uchaguzi anasema si rahisi kuitisha uchaguzi huru na wa haki Oktoba 26.

https://p.dw.com/p/2m8sj