1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi, 17 Oktoba 2017

V2 / S12S17 Oktoba 2017

Maelfu ya raia wakimbia mapigano ya jeshi la Iraq na la Wakurdi mjini Kirkuk, Marekani na Ufaransa zaukosoa uchaguzi wa Venezuela na DRC yachaguliwa kuingia Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa.

https://p.dw.com/p/2lwSH