1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya Asubuhi 16.11.2017

16 Novemba 2017

Rais Robert Mugabe azuiliwa nyumbani baada ya jeshi kutwaa mamlaka nchini Zimbabwe. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson apinga vikwazo vya ujumla dhidi ya Myanmar. Watu 11 wamekufa katika ajali ya ndege nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/2nieZ