1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 15.08.2017

Sylvia Mwehozi
15 Agosti 2017

Kiongozi wa Korea Kaskazini amesitisha kwa muda mipango ya kukishambulia kisiwa cha Guam kwa makombora . Rais Donald Trump hatimaye amevunja ukimya na kulaani vitendo vya ubaguzi wa rangi. Na watu 312 wamefariki na wengine zaidi ya 2,000 kuwachwa bila makaazi katika janga la maporomoko ya ardhi huko Sierra Leone

https://p.dw.com/p/2iDZr