1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya Asubuhi 14.11.2017

14 Novemba 2017

Iran yaomboleza vifo vya watu zaidi ya 400 waliokufa kutokana na tetemeko la ardhi. Zaidi ya raia 50 wauawa kaskazini mwa Syria katika mashambulizi ya anga. Mkuu wa majeshi ya Zimbabwe ataka kampeni ya kuwafukuza wanachama wa ZANU PF isimamishwe. Italia yashindwa kuingia katika michuano ya fainali za kombe la dunia.

https://p.dw.com/p/2nZuv