1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya Asubuhi 12.01.2017

Zainab Aziz
12 Januari 2018

Mkutano wa kuangalia uwezekano wa kuanzisha mazungumzo ya kuunda serikali nchini Ujerumani bado unaenelea. Umoja wa Ulaya wasema mkataba wa nyuklia uliofikiwa na Iran unafanya kazi. Rais wa Marekani Donald Trump asema anaweza kuwa na uhusiano mzuri na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.

https://p.dw.com/p/2qjLZ