1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 03.11.2016

Sylvia Mwehozi
3 Novemba 2016

Raia mmoja wa Syria amekamatwa na polisi mjini Berlin, akishukiwa kupanga mashambulizi katika mojawapo ya viwanja vya ndege vya mji huo. Kiongozi wa wapiganaji wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS asema hakuna kusalimu amri mjini Mosul na Kenya yatangaza kuviondoa vikosi vyake kutoka katika ujumbe wa kulinda amani nchini Sudan Kusini.

https://p.dw.com/p/2S4KI