1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi: 01.08.2017

Zainab Aziz
1 Agosti 2017

Kwenye taarifa ya habari za ulimwengu leo asubuhi: Marekani yamwekea vikwazo rais wa Venezuela Nicolas Maduro. Rais wa Donald Trump amtimua mkurugenzi wake wa mawasilaino. Ujerumani yaunga mkono juhudi za kupambana na ugaidi Afrika magharibi.

https://p.dw.com/p/2hTW3