1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
13 Juni 2018

https://p.dw.com/p/2zQfW

- Rais Donald Trump wa Marekani amesisitiza uamuzi wake wa kusitisha mazoezi ya kijeshi na Korea Kusini, baada ya mkutano na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.

- Saudi Arabia na washirika wake wajiandaa kwa operesheni kubwa zaidi kuwahi kufanyika dhidi ya Waasi wa Kihouthi nchini Yemen

- Vita vya maneno kati ya Ufaransa na Italia, kufuatia uamuzi wa Italia kuinyima njia meli iliyokuwa ikiwabeba wakimbizi na wahamiaji.