3 Oktoba 2017
Matangazo
Polisi wa Marekani wajaribu kufahamu sababu iliyomfanya mshambuliaji wa Las Vegas kuuwa watu 59, Amnesty International yataka uchunguzi juu ya mauaji ya waandamanaji nchini Cameroon, na kiongozi wa jimbo la Catalonia awataka polisi wa serikali ya Uhispania kuondoka katika jimbo hilo lenye mamlaka ya ndani.