Matangazo
Miongoni mwa yaliyomo: Rais Adama Barrow wa Gambia arejesha uanachama wa nchi yake katika Jumuiya ya Madola na Mahakama ya ICC, Ikulu ya White House yasema Rais Donald Trump amekuwa akijua kwa wiki kadhaa, kwamba mshauri wake katika masuala ya usalama wa taifa alikuwa akisema uongo, Umoja wa Mataifa watoa tahadhari kuhusu kitisho cha dhahiri cha mauaji ya halaiki nchini Sudan Kusini.