1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

V2 / S12S4 Januari 2017

https://p.dw.com/p/2VDwg

Uturuki imerefusha kwa miezi mitatu zaidi, utawala wa sheria ya hali ya hatari huku ikiendelea kumsaka mtu aliyewauwa watu 39 kwenye mkesha wa mwaka mpya, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Gambia amekimbilia Senegal kwa kuhofia maisha yake, Rais Mteule wa Marekani Donald Trump atakutana na idara za ujasusi Ijumaa, kuhusiana na kile kinachoitwa ''Udukuzi wa Urusi''.