1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

V2 / S12S16 Februari 2017

https://p.dw.com/p/2Xew2

Miongoni mwa yaliyomo:  Rais wa Marekani Donald Trump asema kwake suluhisho la mataifa mawili katika mzozo kati ya Israel na Palestina sio suluhisho pekee, Malaysia imewakamata wanawake wawili wanaoshukiwa kumuuwa ndugu wa kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, na Bunge la Ulaya laidhinisha makubaliano kati ya Umoja wa Ulaya na Canada-CETA.