1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 21.02.2017

21 Februari 2017

Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Vitaly Churkin amefariki dunia // Rais wa Marekani, Donald Trump amemteua Herbert Raymond McMaster kuwa mshauri mpya wa usalama wa taifa // Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia watoto, UNICEF, limesema kiasi ya watoto milioni 1.4 wenye utapiamlo wanaweza kufa mwaka huu kutokana na njaa nchini Nigeria, Somalia, Sudan Kusini na Yemen

https://p.dw.com/p/2XwuH