1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 2017

20 Januari 2017

Kwenye taarifa ya habari leo asubuhi: Donald Trump kuapishwa leo kuwa rais wa 45 wa Marekani. Nchi za Afrika magharibi zasimamisha kwa muda operesheni ya kijeshi nchini Gambia. Wazimamoto 30 wafa baada ya jengo refu kuwaka moto na kuporomoka mjini Tehran. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aijadili migogoro ya Syria na Ukraine pamoja na viongozi wa Urusi na Ufaransa.

https://p.dw.com/p/2W63r