1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 11.05.2018

Grace Kabogo
11 Mei 2018

Rais wa Syria, Bashar al-Assad ameyalinganisha mapigano yanayoendelea nchini mwake na ''vita vya dunia'' // Rais wa Marekani, Donald Trump amesema atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, Juni 12 nchini Singapore // Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imethibitisha kuwa mtu mmoja amefariki dunia kutokana na kuugua ugonjwa wa Ebola

https://p.dw.com/p/2xVbR