Urusi imeishutumu Uingereza kwa kuhusika na shambulizi la sumu dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi // Rais wa Marekani, Donald Trump ameapa kuongeza mara mbili zaidi ushuru wa bidhaa za China zinazoingia nchini humo // Mahakama ya Ujerumani imesema kiongozi wa zamani wa Catalonia, Carles Puigdemont anaweza kuachiwa huru kwa dhamana.