1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 05.02.2018

Grace Kabogo
5 Februari 2018

Mazungumzo ya kuunda serikali mpya ya muungano nchini Ujerumani yanatarajiwa kuendelea leo // Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema anatarajia Umoja wa Ulaya utaikubalia nchi yake uanachama kamili wa umoja huo // Israel imeanza kuwapatia Waafrika wanaoomba hifadhi barua zinazoeleza kwamba wana miezi miwili ya kuondoka kwenda katika nchi ya tatu ambayo haijatajwa

https://p.dw.com/p/2s7iT