1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 04.04.2018

Grace Kabogo
4 Aprili 2018

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema anafikiria kuyaondoa majeshi ya Marekani nchini Syria // Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inataka kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo, kuondoka ifikapo mwaka 2020 // Wanasayansi wa Uingereza wameshindwa kutambua chanzo cha sumu iliyotumika dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi

https://p.dw.com/p/2vRVn