Mwanaume wa Uzbekistan anayetuhumiwa kuwagonga watu nchini Marekani, amefunguliwa mashtaka ya ugaidi // Waziri wa Ulinzi wa Uingereza, Michael Fallon amejiuzulu baada ya kukiri kuhusu mwenendo usiofaa // Wabunge wa Marekani, wamefikia makubaliano ya kuweka vikwazo vipya vinavyoilenga Korea Kaskazini.