1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sura tofauti za kisiasa za Merkel

John Juma
15 Septemba 2017

Ujerumani inapoelekea katika uchaguzi Septemba 24, moja kati ya maswali yanayoulizwa ni vipi Kansela Merkel ameweza kusalia madarakani kwa muda huo wote? Amebadili misimamo kuhusu mambo kadhaa. Tazama vidio ujue zaidi.

https://p.dw.com/p/2k40h