SPIN BOLDAK: Mshambuliaji ajiripua miongoni mwa polisi | Habari za Ulimwengu | DW | 06.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

SPIN BOLDAK: Mshambuliaji ajiripua miongoni mwa polisi

Si chini ya askaripolisi 10 wa Afghanistan wameuawa na wengine 11 wamejeruhiwa katika shambulio la kujitolewa muhanga.Shambulio hilo limetokea kwenye kituo cha ukaguzi kusini-mashariki ya Afghanistan.Mshambulizi huyo alijiripua alipokuwa amekaa pamoja na polisi mjini Spin Boldak karibu na mpaka wa Pakistan. Msemaji wa Taliban amedai kuwa wamehusika na shambulizi hilo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com