1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Somalia

Waandishi habari wawili wa kigeni waachiwa huru PuntlandWaandishi habari wawili wa kigeni,mmoja wa kiengereza na mwengine mpiga picha wa kutoka Hispania,waliotekwa nyara November 26 mwaka jana,katika eneo la kaskazini mwa Somalia, lililojitangazia utawala wa ndani-Puntland,wameachiwa huru hii leo.Habari hizo zimetangazwa na afisa wa ngazi ya juu wa polisi huko Puntland.

 • Tarehe 04.01.2009
 • Mwandishi Oumilkher Hamidou
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/GRiQ
 • Tarehe 04.01.2009
 • Mwandishi Oumilkher Hamidou
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/GRiQ

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com