Somalia: Al Shabab yajiunga na Al Qaeda | Matukio ya Kisiasa | DW | 10.02.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Somalia: Al Shabab yajiunga na Al Qaeda

Huenda visa vya kigaidi vikaongezeka duniani kufuatia kundi la Al Qaeda kutangaza wazi kwamba kundi la waasi nchini Somalia Al shabaab limejiunga rasmi na wanamgambo hao wa kigaidi.

Wanamgambo wa Al Shabab

Wanamgambo wa Al Shabab

Msemaji wa kundi la Al Qaeda Ayman al Zawahri jana alitoa video ya dakika 15 inayoeleza maelezo hayo kwa kina na kusema kwamba sasa wataimarisha mapambano yao dhidi ya maadui zao.
Kwa kuchambua zaidi swala hili nimezungumza na Emmanuel Kisyangani mtafiti mkuu wa maswala ya Somalia katika taasisi ya kimataifa ya usalama ilio na makao yake mjini Nairobi.

Mwandishi Amina Abubakar

Mhariri Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com