Soka. Yanga yainyuka CDE ya Djobouti. | Habari za Ulimwengu | DW | 07.01.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Soka. Yanga yainyuka CDE ya Djobouti.

Katika siku ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano ya soka kuwania kombe la mataifa ya Afrika mashariki na kati kwa upande wa klabu, mabingwa wa Tanzania Dar Young Africans wameishindilia timu ya CDE kutoka Djibout kwa mabao 4-0.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com