Siku ya Watoto Afrika | Masuala ya Jamii | DW | 16.06.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Siku ya Watoto Afrika

Leo, Juni 16, ni siku ya mtoto wa Afrika, kama inavoadhimishwa kila mwaka, na kutangazwa mara ya kwanza na Umoja wa Nchi Huru za Afrika, OAU, hapo mwaka 1991.

default

Watoto waliowahi kutumiwa kama wapiganaji nchini Liberia.

Mwaka huu kauli mbiu ya Shirika la Umoja wa Mataifa lenye kuwasaidia Watoto duniani, UNICEF, kwa ajili ya siku hii ni wito wa kuchukuliwa hatua za kivitendo kuendeleza uhai wa mtoto.

Othman Miraji amezungumza na afisa habari wa UNICEF huko Dar es salaam, Tanzania, Dominic Mwita, na alianza kwa kuelezea juu ya juhudi za kumlinda mtoto wa Kitanzania:

Mwandishi: Othman Miraji

Mhariri: Mohamed Abdulrahman
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 16.06.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/IBs8
 • Tarehe 16.06.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/IBs8