Siku ya wakimbizi duniani-Mashariki mwa Kongo
20 Juni 2012Matangazo
Ulimwengu ukiwa unasherehekea siku ya wakimbizi, nayo Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ikiwa katika vita hasa katika eneo lake la mashariki, tunaangazia hali ya wakimbizi katika mkoa wa Kivu ya kaskazini, unaowahifadhi wakimbizi wengi wanaokimbia vita katika maeneo yao. Kutuletea hali ya wakimbizi mkoani Kivu, ni mwandishi wetu aliye Goma, mashariki ya Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo, John Kanyunyu.
(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Ripoti: John Kanyunyu/DW Goma
Mhariri: Mohammed Khelef