Siku ya Ukimwi duniani
1 Desemba 2009Matangazo
Hata hivyo bado maambukizi katika
nchi za kusini mwa jangwa la Sahara yako juu. Na huku nchi nyingi za
Afrika. Ripoti ya Umoja wa Mataifa inasema watu milioni 33.4
wanaishi na virusi vya ukimwi kote duniani, kutoka milioni 33 mwaka
2007. Lakini la kutia moyo ni kwamba watu wengi wanaishi kwa
muda mrefu kwa sababu ya uwezo wa kupata dawa za kupunguza
maambukizi, zinazojulikana kama ARVS. Munira Muhammad alizungumza na Bruno
Ghumpi, kaimu mkurugenzi mtendaji wa shirika la kiraia la kupambana
na ukimwi, nchini Tanzania, WAMATA. Kwanza anaelezea
changamoto wanazokabiliana nazo.
Mtayarishaji:Munira Muhammad
Mhariri:M.Abdul-Rahman