Siku ya mwisho kwa viongozi wa wapiganaji kuweka silaha chini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
14 Mei 2008
Leo ni siku ya mwisho kwa viongozi wa makundi ya wapiganaji katika mikoa ya kivu kusini na kaskazini huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
https://p.dw.com/p/Dzsy
Matangazo
Viongozi hao kesho wanatazamiwa kuwasilisha ripoti ya kampeni zao kwenye tume ya pamoja inayohusika na amani.
Mwandishi wetu John Kanyunyu ametutumia ripoti ifuatayo.