1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya maombolezi nchini DRC

5 Februari 2007

Serikali ya kongo imekemea waliohusika na ghasia iliotokea jimboni BAS Congo na ambayo ilisababisha vifo vya watu 87 wakiwemo polisi kumi.

https://p.dw.com/p/CHKj

Kwa wakati huohuo kiongozi wa upinzani Jean-Pierre Bemba ametoa mwito kwa Wakongo ili watekeleze siku ya maombolezi ya kitaifa leo kufuatia mauwaji ya Bas Congo, jambo ambalo serikali imetupilia mbali na kuwataka raia aendeshe shuruli zao kama kawaida.