Sikiliza kipindi cha Karibuni ambapo mwanamuziki Nyota ndogo anaeleza historia yake01.12.20061 Desemba 2006Maisha ni kitendawili hilo amelishuhudia Nyota Ndogo katika maisha yake ambapo wazazi walikuwa maskini na hivyo hakuweza kumaliza masomohttps://p.dw.com/p/CHm3MatangazoJuu ya mengi zaidi kumhusu mgeni huyo wa wiki katika karibuni Saumu Mwasimba anawachukua katika ukumbi huo wa raha