1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Sigara marufuku maeneo ya umma Zanzibar

Katika kukabiliana na maradhi yatokanayo na tumbaku, ikiwemo kukithiri kwa saratani, serikali ya Zanzibar imezindua kanuni mpya ya kudhibiti matumizi ya tumbaku kama ni njia moja ya kupambana na tatizo hilo.

Sikiliza sauti 02:32

Ripoti ya Salma Said kutoka Zanzibar

                       

Sauti na Vidio Kuhusu Mada