SHINDANO JIPYA
7 Oktoba 2013Matangazo
Tuambie ni nchi ipi ya Afrika mashariki itakayotimiza Desemba mwaka huu miaka 50 tangu ilipopata uhuru?
Ni Uganda, Tanzania, Kenya, Rwanda au Burundi?
Tuma jibu sahihi kwa anuani zifuatazo: S.L.P. 70087, Dar es Salaam, S.L.P. 7016, Kampala, na S.L.P.1327, Kigali. Pia unaweza kutuandikia moja kwa moja kutumia S.L.P. 53110, Bonn,Germany, au Barua Pepe kiswahili@dw.de
Acha kusuasua, kazi kwako!!!