1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume

13 Desemba 2017

Kulifanyika maadhimisho ya miaka 25 tangu ujumbe wa kwanza mfupi wa simu ya mkononi kutumwa, na pia Facebook inazindua App ya Messenger mahsusi kwa watoto kuzungumza na wazazi wao, na zaidi ya hayo Jukwaa jipya la vijana limebuniwa na idhaa ya DW, Vijana Mubashara, 77%. Ili kufahamu yote haya sikiliza makala ya Sema Uvume iliyoandaliwa naye Jacob Safari.

https://p.dw.com/p/2pGTt