Sekta ya Juakali Kenya mtandaoniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoIddi Ssessanga09.03.20169 Machi 2016Uchumi wa Kenya una sekta kubwa isiyo rami na isiyodhibitiwa. Inawajumlisha wafanyakazi wenye ujuzi mzuri lakini wasiyo na uwezo wa kujitangaza. Mjasiriamali wa mtandaoni Catherine Gichunge anawasaidia kutafuta kazi.https://p.dw.com/p/1I9xOMatangazo