Unaizungumziaje hali ya elimu barani Afrika, ikiwa ni pamoja na nchini mwako? Je unadhani inakidhi mahitaji na changamoto zilizopo sasa duniani? Je imeimarika ama imeporomoka? Katika makala haya ya Kinagaubaga, Mohammed Abdulrahman anazungumza na Prof. Benson Bana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, kuliangazia zaidi.